Events Centre
Events Available
KIKAO CHA 126 CHA BARAZA LA UONGOZI WA CHUO
KIKAO CHA 126 CHA BARAZA LA UONGOZI WA CHUO

Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijjni Prof. Martha Qorro, Leo Agosti 19, 2022 ameongoza kikao cha 126 Cha Baraza la Uongozi wa Chuo kilichofanyika katika ukumbi wa Maktaba, Kituo cha Mafunzo cha Kanda ya Ziwa Mwanza.

Read More